No Time Bdi

No Time Bdi

Share

No Time BDI – Barber Shop ya kisasa Kitengela. Ubunifu, kazi na huduma bora kila siku. Tunakuacha uking’aa!

Photos from No Time Bdi's post 31/08/2026
23/08/2026
19/08/2026

Mtoto naye anastahili kuonekana smart! ✂️🔥❤️
Tunawahudumia watoto na watu wazima kwa upendo na usafi. Karibu sana No Time BDI — tunafanya kazi kwa ubora mpaka uridhike. 😍
📍 Kitengela Town
📞 0712 835 350
Karibu tujenge furaha pamoja! ✂️❤️

17/08/2026

Hata watoto wanastahili kutoka wakiwa smart na wenye furaha 😍✂️ Karibu sana No Time BDI — tunahakikisha kila mteja anapata style anayopenda.

15/08/2026

Ukipenda content yangu,
Usisahau kushare na marafiki,
Like na comment pia,
Tujenge hii page pamoja! ❤️

12/08/2026

Angalia mwenyewe baada ya kunyoa vizuri jinsi unavyoonekana smart! 😃✂️ Usijinyime nafasi ya kujipendeza. Karibu sana, tunakungoja! 💈🔥
📍 Kitengela Town, opposite Pizza Inn (Palace)
📞 0712835350

Want your business to be the top-listed Hair Salon in Bujumbura?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Bujumbura
1994