hajys_essential

hajys_essential

Share

We are here to make you shine Tupokukufanya Upendeze

10/01/2026

Hii jezi sio tu nguo — ni statement 🔥
Classic Arsenal vibes, fit safi, confidence iko juu 💯
Vaa ushinde uheshima mtaa mzima ⚽✨

(Tuna Jezi za team zote).

09/01/2026

✨ NEW ARRIVAL | Classic Elegance on Point ✨
Hii dress ni pure class — mix ya timeless style na modern vibes.
Ni perfect kwa mwanamke anayejiamini, anapenda kuonekana elegant bila kupitiliza. Day au evening, this look always speaks international.

08/01/2026

✨ Simple. Elegant. Timeless. ✨
Vazi linalokupa muonekano wa kipekee bila kujitahidi — laini, classy na perfect kwa outing, office casual au weekend vibes.

💛 Ukipenda kuonekana nadhifu na wa kuvutia, hii ni yako!

📩 DM to order | 🛍️ Limited pieces available

08/01/2026

Mtindo wa daraja la juu 🔝
Smart, stylish na confidence ya ukweli 💚
Váa tofauti — váa hadhi.

14/12/2025

✨ Magic Gloss – Shine Bright, Slay Loud ✨
Rangi 5 za kuvutia, mwanga wa kudumu na lips zinazong’aa kila muda 💋
Chagua shade yako uache midomo yako iongee uzuri wako 💖

13/12/2025

✨ Urembo wa heshima, mvuto wa kipekee ✨
Kwa warembo wanaopenda kuvaa kwa staha bila kupoteza style 💕
Mavazi yetu ni mepesi, maridadi na yanakaa kwa heshima kamili 🌸
Karibu ujipendeze na ujiamini kila unapovaa 🤍
📍 Tunapatikana Arusha

12/12/2025

✨New Arrival Alert!✨
Urembo wa heshima na ubora sasa umefika — layered khimar sets zenye material laini, zenye kuanguka vizuri na kukupa muonekano wa kipekee kila siku.
Chagua rangi yako, pendeza kwa siku yako! 💖🖤💙

10/12/2025

Style isiochelewa — nguo, viatu & sandals ziko ready kukugeuza leo ✨🔥
Pick your vibe, pendeza bila stress. DM sasa!

Photos from hajys_essential's post 10/12/2025

Warembo wangu wa nguo, sasa style yenu imepata harufu ya kifahari ✨
Perfumes zimetua fresh—original, classy na perfect kwa queens 👑
Karibuni mchukue signature scent yenu.”

07/12/2025

🌟 OFA KUBWA YA LEO – HAJY’S ESSENTIAL! 🌟

1️⃣ Mteja wa kwanza atakaenikuta dukani anapata nguo yoyote aipendayo BURE!
2️⃣ Mteja wa pili akipenda bidhaa lakini bei haijafika kwake – ofisi itamjazia hadi aiweke mkononi!
3️⃣ Kuanzia mteja wa tatu na kuendelea – DISCOUNT ya nguvu inakusubiri!

💛 Karibuni sana mpendeze kwa bei laini, vitu original, classy na premium kutoka Hajy’s Essential.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mbauda
Arusha