Afya ya ngozi na urembo

Afya ya ngozi na urembo

Share

Karibu katika page maalumu itakayokusaidia kutatua changamoto za afya pamoja na urembo kwa mawasiliano zaidi http://wa.me/255755273087

26/03/2025
27/10/2022

=》Je Umeshawahi Kutafakari Kuhusu Ngozi Yako?

♡ Je Ungependa Kuwa Na Rangi Moja Ya Ngozi Yako Mwili Mzima?

♡ Je Una Changamoto Ya Kuwa Na Chunusi, Harare, Vipele Kwa Muda Mrefu, Umehangaika Sana Bila Mafanikio, Na Ungependa Kuziondoa?

♡ Je Una Madoa Meusi (Black Spot) Usoni Ungependa Kuyaondoa?

♡ Je Una Mba Kwa Muda Mrefu Ungependa Kuuondoa?

Kwa Kutumia Mchanganyiko Wa Lotion (Mkorogo) Wa Asili Ambao Hauna Kemikali Hatarishi Utakusaidia Kuwa Na Ngozi Yenye Rangi Moja Yenye Kung'aa Na Utapata Mwonekano Mzuri.
Sabuni zetu ni sh 5000/= Tu.




Kwa Mawasiliano Zaidi Piga/ WhatsApp/Sms :
+ 255 755 273 087 Au Nitumie Inbox Hapa..

☆ Like/Share/Tag Post Hii Kwa Watu Wengi Zaidi Ili Wanufaike Na Bidhaa Hizi.

09/08/2022

Polshine soap kiboko ya utangotango

27/07/2022

Whether you’re struggling with sun-induced freckles and spots, acne scars, or simply want skin to look a little brighter, we’re convinced that licorice is a winner. If you’re looking for a natural alternative to chemical brighteners or a gentle ingredient for inflamed skin, you can’t beat the impressive benefits of licorice have licorice ingredients💚💚💛💛

23/07/2022

*UGONJWA WA UTANGOTANGO MWILINI*

Kwa kawaida, maradhi haya hushambulia zaidi vijana walio katika umri wa balehe na watoto.

Katika mwendelezo wa makala yetu ya maradhi ya ngozi tunaendelea kuangalia maradhi ya ngozi yatokanayo na fangasi,

leo tukiangalia hamira (yeast) yanavyoshambulia sehemu mbalimbali za mwili. Maradhi haya kitaalamu huitwa tinea versicolor.

*utango tango (mba)*

Mba ni maradhi maarufu zaidi kati ya magonjwa mengi yanayosambazwa na fangasi wanaoitwaMalassezia furfur ambao kwa kawaida huishi kwenye ngozi ya watu wazima bila kusababisha matatizo yoyote ya kiafya.

Vimelea hivi husababisha ngozi kwenye sehemu ndogo ya mwili kubadilika rangi ukilinganisha na rangi ya ngozi ya sehemu ya mwili iliyoizunguka.

*Mba hushambulia nani?*

Kwa kawaida, maradhi haya hushambulia zaidi vijana walio katika umri wa balehe na watoto.

Mwonekano wake

Maradhi haya hutambulika kwa namna mbalimbali, lakini ya muhimu zaidi ni mwonekano wake. Hutambulika kitaalamu k**a ‘versicolor., neno la Kigiriki linalomaanisha kubadilika kwa rangi ya ngozi na hii humaanisha kuwa sehemu ya ngozi inayopata maambukizi ya maradhi haya hubadilika rangi yake kutoka ile ya asili.

Mfano rahisi ni mabadiliko ya rangi ya ngozi kutoka maji ya kunde na kuwa nyeusi zaidi au nyeupe zaidi ukilinganisha na sehemu za ngozi zilizozunguka eneo lenye maambukizi ya fangasi hao.

*Ni sehemu gani hushambuliwa?*
ya ngozi yanayoathiriwa zaidi katika mwili ni mabega, shingo, mgongo na kifua.

Mara nyingine maradhi haya hushambulia maeneo ngozi inapojikunja k**a vile maungo ya mikono, ngozi ya chini ya matiti, maeneo ya siri hasa pale miguu inapoanzia. Uso mara nyingi hauathiriki, ingawa kwa watoto wanaweza kupata maambukizi ya kwenye kidevu, pua, mashavu na hata paji la uso.
Mara nyingi, fangasi hawa wanaposhambulia uso hushambulia kwa wingi kiasi kwamba ukimtazama mgonjwa kwa haraka haraka unaweza kudhani kuwa hiyo ndiyo rangi yake halisi ya ngozi na kuwa maeneo ambayo hayajaathirika ndiyo yaliyoathirika.

Sababu za kutokea kwake

Sababu za maradhi haya bado zinafanyiwa uchunguzi, lakini k**a nilivyosema kwenye makala za nyuma kuhusu namna fangasi wanavyosambaa, na kwamba, sababu hizi pia ni muhimu, nazo ni;

-Hali ya majimaji kwenye ngozi (inaweza kuwa hata jasho)

-Hali ya hewa ya joto (fangasi wanakua vizuri kwenye hali ya joto)

-Kinga ya mwili ikiwa chini

-Mabadiliko ya homoni

Inawezekana pia maradhi haya kupata watu ambao wamekosa sababu zilizotajwa hapo juu.

Usambaaji wake

Kwa vile vimelea vya fangasi vinavyosambaza maradhi haya kwa hali ya kawaida huishi kwenye ngozi si lazima mtu aambukizwe, bali kwa kawaida maradhi haya hutokea kulingana na kimazingira
Hivyo basi tumekuandalia sabuni bora sana wewe unaesumbuliwa na tatizo hili hutaitaji tena kutumia garam kubwa sana kupambana na tatizo hili kwani Polshine-soap ina Anti-inflamatory na Anti-oxidantes zinazotakiwa kupambana kuua fangasi hawa na zinafanya kazi kwa ufanisi mkubwa sabuni hiz zinapatikana Dar esalam na Kilimanjaro ila maeneo mengine tunafanya dilivery kuanzia sabuni 3 kwa mikoani garama za dilivery ni 5000
Pig sim/whatsapp 0755273087 au tufwatilie mitandaoni

14/07/2022

Polshine soap kiboko ya utangotango chunusi n mabaka usoni, mgongoni na kifuani call/text 0755273087

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Mlimani City
Dar Es Salam