Rabia Afya na Tibalishe

Rabia  Afya  na Tibalishe

Share

Tibu afya yako sasa

11/10/2024

SULUHISHO LA VIDONDA VYA TUMBO

22/08/2024
16/07/2024

DALILI HIZI ZINAASHIRIA UNATATIZO

1. Kutokwa na damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi.

2. Kuingia hedhi kwa muda mrefu kuliko kawaida

3. Kupita mwezi bila kupata hedhi

4. Hedhi kubadilika badilika tarehe Kushindwa kubeba ujauzito.

5. Kusikia maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi

6. Kublidi mara mbili au Zaidi ndani ya mwezi mmoja

7. Kubeba mimba na kutoka zenyewe

8. Kutokwa na maziwa kwenye chuchu wakati wewe sio mjamzito wala hunyonyeshi

9. Kupata chunusi sana usoni

10. Kutokuona siku zako kwa muda mrefu

11. Kuota ndevu wakati wewe ni mwanamke

Kupata dalili za mimba wakati wewe sio mjamzito Hali hii inawakuta wanawake wengi saivi na kujikuta wanapima ujauzito kwa kutumia kipimo cha mkojo maarufu k**a UPT.

> TATIZO LA HORMONE IMBALANCE AU MVURUGIKO WA VICHOCHEO VYA MWILI

Hili ni tatizo linalohusu kubadilika kwa hormones au vichocheo vyako vya mwii , ambapo mabadiliko hayo huhusiha kuongezeka au kupungua kwa vichocheo vya mwili wa mtu.

> OFFER OFFER KWA WIKI HII UNAPATA DOSE KWA TSH 60,000 BADALA YA TSH 100,000

> MWAWASILIANO ZAIDI

*WhatsApp bofya hapa*👇

Au PIGA SIMU 0689 970136

16/07/2024

*Pelvic Inflammatory Disease (P.I.D)*
Ni Maambukizi kwenye via vya Uzazi wa
Mwanamke

PID sio nzuri kwa Afya ya Uzazi, Kati ya wanawake 10 wenye PID sugu mmoja anakuwa Mgumba.

*ATHARI NYINGINE ZA P.I.D ni:-*

*📌Mimba kutugwa nje ya kizazi (Ectopic pregnancy).*

~ Katika tatizo hili Tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi Yaani (ectopic pregnancy),

Mbegu ya kiume na yai huungana kutengeneza kiinitete kwenye mirija ya uzazi (follopian tube),

Badala ya kupandikizwa kwenye mji wa mimba (Uterus)

👌 Kwa mantic hiyo k**a mimba ikijipandikiza kwenye mirija ya uzazi (follopian tube),

Inakuwa na hatari ya kupasuka kadri mimba inavyokua Na kupelekea kupoteza damu nyingi sana,

Na Kuwa Hatari kwa uhai wa mama.

*📌mimba kutoka (miscarriage )*

*📌Mirija ya uzazi kuziba.*

*📌Kizazi kujaa maji maji.*

*📌Husababisha uvimbe kwenye mayai (ovarian cyst).*

*📌Hormonal imbalance.*

*📌Saratani ya shingo ya kizazi* unapo kaa na infection kwa muda mrefu.

*Utajuaje Una PID?*

Hizi Hapa Dalili Kuu 10 Hatarishi za P.I.D:-

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa.

2️⃣Kuwashwa sehemu za siri.

3️⃣Uke kutoa harufu mbaya.

4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.

5️⃣Uke kuwa na ulaini sana.

6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi.

8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi.

9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa.

🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula.

*MATIBABU YAKE:-*

Kwa dose ya P.I.D, inaanzia *180,000/=*, pia inatengemea ukubwa wa tatizo ilo Na Upo nalo kwa muda gani.

*WIKI HII TU NINA OFFER KWA AJILI YAKO KWA TSH 100,000 TU*

Nitumie Ujumbe whatsapp muda huu, Ili kupata offer yako
PIGA SIMU 0689 970136

Rabia Afya na Tibalishe Tibu afya yako sasa

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mtwara?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Mtwara